Nidhamu inahitajika barabarani

Nidhamu inahitajika barabarani

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
19,029
Reaction score
22,567
225911_344933305605440_132761274_n.jpg
Thamini viumbe hai
 
Kwa Bongo yetu hii itakuwa ndoto labda kwa watakaoishi mwaka 3000 na kuendelea....
 
Kwa Bongo yetu hii itakuwa ndoto labda kwa watakaoishi mwaka 3000 na kuendelea....

huku bongo unakuta mwanaume mzimma ameegesha gari lake katikati ya barabara anaongea na mtu nje ya gari inabidi wewe uliye nyuma yake umsubiria amalise shida yake ndo aondoke nawe upite shame sana waboongo hatuna nidhamu barabarani
 
Back
Top Bottom