Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
Jamani Mgirik, acha bwana labda hayuko hivyo!Hapo mm ndipo unaponiacha hoi.. Yaan nachoka kabisa..
Unamtaman mwanamke mwenzako..
Hivi kuna mtu alikutuma kwamba uwe unafumuliwa malinda?
Hivyo vitu waachie wenye meno ww endelea kuwapa starehe wanaume wenzio
Ni star humjui niccole?ndo nani?
amekuruhusu kupost picha yake jf?
unajua unaweza kushtakiwa kwa makosa ya kimtandao?
yeah nigga...ni wa kawaida sanaaa!!!!!!!!Wakawaida sana.
Kwani ni Nani
Kiongozi yupo makini hatokubali kutoa faragha za mtu humu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]ndo nani?
amekuruhusu kupost picha yake jf?
unajua unaweza kushtakiwa kwa makosa ya kimtandao?
STAR WA KITU GANI MI STAR WANGU NI REMY ONGALA
Jaribu kuchati naye utamjuaJamani Mgirik, acha bwana labda hayuko hivyo!