Nicolás Maduro na mkewe wafikishwa mahakama ya New York

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Angalia ALJAZERA utawaonea huruma. Lakini wameonewa maana hawajatenda kosa lolote against USA ila Maduro aliua, ameua watu wengi. Kwa hilo ngoja naye afedheheshwe!

Na yule wa Columbia anaweza akawa anaongozana na mtoto wake siku moja

---
Rais wa Venezuela aliyeondolewa madarakani, Nicolás Maduro, alisafirishwa hadi katika mahakama ya New York kwa kutumia gari lenye ulinzi mkali na helikopta. Maduro atasimama kwa mara ya kwanza mahakamani, ambapo anakabiliwa na mashtaka ya dawa za kulevya na silaha.

Maduro.jpg

Angalia ALJAZERA utawaonea huruma. But.........Lakini wameonewa maana hawajatenda kosa lolote against USA ila Maduro aliua, ameua watu wengi. Kwa hilo ngoja naye afedheheshwe!

Na yule wa Columbia anaweza akawa anaongozana na mtoto wake siku moja
Aisee
 
Huwezi kuwaona kwa sababu tayari watu mshawakubali kuwa ni marais wenu.
Hata Maduro hakuamini kuwa kuna siku atakuwa nyavuni, huyu kilaza wa Kizimkazi kwa vile anazidi kulichokonoa Kanisa Katoliki ndiyo anaharakisha siku ya tukio hilo tukufu.
 
At this point sidhani kama atawajibishwa kwa madhambi yote aliyoyatenda kwa sababu tuna idadi kubwa sana ya watu wasio na akili timamu.

Kuhusu Maduro, hiyo ni bahati ya mwenzio.

Kujipa moyo kwa kilichomtokea ni kujidanganya na kujipa matumaini hewa.
 
Hata Maduro hakuamini kuwa kuna siku atakuwa nyavuni, huyu kilaza wa Kizimkazi kwa vile anazidi kulichokonoa Kanisa Katoliki ndiyo anaharakisha siku ya tukio hilo tukufu.
Kwa kinachoonekana huyu mama anaenda kumaliza miaka 5 vizuri tu bila shaka hapa kuhusu kukamatwa kama Maduro ni asilimia ndogo sana tena inawezaka kua 1%
 
Angalia ALJAZERA utawaonea huruma. But.........Lakini wameonewa maana hawajatenda kosa lolote against USA ila Maduro aliua, ameua watu wengi. Kwa hilo ngoja naye afedheheshwe!

Na yule wa Columbia anaweza akawa anaongozana na mtoto wake siku moja

Usikose kutuletea picha, siku yule wa kwenu na mwanaye watakapokuwa wanasindikizwa mahakamani.
 
Kwa kinachoonekana huyu mama anaenda kumaliza miaka 5 vizuri tu bila shaka hapa kuhusu kukamatwa kama Maduro ni asilimia ndogo sana tena inawezaka kua 1%
Kama watu ambao hujifanya wanampinga tayari washaanza kumuita “rais wangu”, basi tena.

Yaliyotokea yalikuwa ni upepo tu na ndo unapita sasa hivi.
 
Huyu ilitakiwa iwe bampa to bampa Kila siku kupost video za wale marehemu lazima kingewaka lakini kitendo Cha kumuita rais kwisha habari hapo
 
Angalia ALJAZERA utawaonea huruma. Lakini wameonewa maana hawajatenda kosa lolote against USA ila Maduro aliua, ameua watu wengi. Kwa hilo ngoja naye afedheheshwe!

Na yule wa Columbia anaweza akawa anaongozana na mtoto wake siku moja

---
Rais wa Venezuela aliyeondolewa madarakani, Nicolás Maduro, alisafirishwa hadi katika mahakama ya New York kwa kutumia gari lenye ulinzi mkali na helikopta. Maduro atafanya mwonekano wake wa kwanza mahakamani, ambapo anakabiliwa na mashtaka ya dawa za kulevya na silaha.

View attachment 3525643
Namuona MamaSamia2025 na abduli wakipelekwa The Hague
 
Back
Top Bottom