Nicknames maarufu za wana JF

Nicknames maarufu za wana JF

HAYA LAND HOV manyaunyau

GENTAMYCINE popoma

Binti wa zamani bibi kizee cha tulin

min -me bwashee

ELI COHEN myahudi

Lucas Mwashambwa chawa

Mshana Jr mtaalam


Shusha nyingine😁
We jamaa kwa nini hauumizi kichwa kuja na ideas zako kuanzia jina umekopi kwa member Greatest Of All Time na huu uzi umekopi kwa Invisible Mafia bila hata aibu .

Anakushinda Idea hata mvuta bange The Mongolian Savage ambaye kichwani ni loose Nut ?

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom