Nichomoe betry ?

Nichomoe betry ?

Siku demu akiingia na Kijamaa chake mwambie jamaa aje...!! Utakuwa umemsaidia zaidi...
 
Chomoa betri tu mkuu, demu fala sana yan anapewa kila kitu still bado anafanya umafia kiasi hicho.
 
Jamaa anashinda mikoan dar so sana mzee ila akija lazma aje kwa demu
Jamaa ako nae atafute femu mwingine huko huyu ampotezee tuu maana anafanya Upuuzi kama kaanza mapenzi jana.. Mapenzi ya mbali siku hizi hakuna kitu unapoteza muda na pesa zako tu
 
Kupewa hela na mwanaume mwenzio nawe ukachekelea ni usenge mkuu na kufanya ushushushu ili demu aachwe uolewe wewe au?

Ujinga tu
 
Sinaga huruma na mtu Malaya, wengine tunatafutwa kupendwa yeye anachezea bahati? Mtu anamlipia hadi kodi analeta mwanaume ndani?

Leo leo mpigie jamaa mwambie kila kitu, na mungu atakubariki, na video tuma kwan sh ngapi??
Nimeipenda comment yako dada.

Chukua Pepsi big, unitumie namba ya muuzaji pm.
 
Sinaga huruma na mtu Malaya, wengine tunatafutwa kupendwa yeye anachezea bahati? Mtu anamlipia hadi kodi analeta mwanaume ndani?
Leo leo mpigie jamaa mwambie kila kitu, na mungu atakubariki, na video tuma kwan sh ngapi??
Unamuharibia mwenzako..
 
Kwa mfano umechomoa battery halafu baada ya week mbili huyo demu anakuletea kadi ya mwaliko ya harusi utafanyaje!
 
Mkuu acha ngoma za kike izo.

Iyo ndio nafasi ya wewe kula mzigo hapo. Usimuharibie mwenzio riziki yake.
Wewe kama baharia unatakiwa nafasi uitumie hiyo. Hilo ndilo linalokuhusu mengine fanya kama hujayaona.
 
Sinaga huruma na mtu Malaya, wengine tunatafutwa kupendwa yeye anachezea bahati? Mtu anamlipia hadi kodi analeta mwanaume ndani?

Leo leo mpigie jamaa mwambie kila kitu, na mungu atakubariki, na video tuma kwan sh ngapi??

Ukipendwa sio guarantee kwamba ww utampenda huyo anaekupenda, mapenzi ni hisia, na sio logic..ungekuwa kwenye position ya huyo mdada, bila shaka na ww ungeyafanya hayo hayo, na huenda ungeliwa hadi kisamvu na huyo sharobaro

Mwanaume ana pesa nyingi anakupenda na anakuhudumia lkn sura mbaya, moyo wako uko Kwa handsome boy, kisharo kisichokuwa na hela.. luckyline
 
Back
Top Bottom