Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 43,485
- 108,593
Sina hakika kwa hili aiseee.....Uyo dogo akili zake ni robo mkuu
Nimekua nikimuona sana humu, na sikuwahi kumuona akiwa mshari kwa yeyote.
Naomba niamini kwamba, alilo likusudia ni tofauti na yalio jiri.
Kwalugha nyepesi, halikua kusudio la mahondaw kuleta mada yenye mnyukano
