Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,015
- 95,369
Tusubiri kwenye version mpya ndo itarudi ATI! Invisible kweli kajua kutu katil!
Hivi hatuwezi kumpiga ban?
Tusubiri kwenye version mpya ndo itarudi ATI! Invisible kweli kajua kutu katil!
Chagua Banker namba 1 kaka yangu,mwanamke lazima awe na principal,huo u-busy usikupe shida kwa umri wake inapaswa kuwa hivyo,suala la ku-propose sex 3-4 days before si issue,kama ndo atakavyo fanya hivyo mradi hakunyimi si issue pia.Wivu wa kichinichini una heshima huo hauna tabu.issue ya TV channel kama CNN imenifanya nimpende zaidi,she wants to know what's going on in the world from the best sources.KEEP HER,utatuambia after some years!
lolz......gud.
na iyo ya sex 3-4 days b4 anaweza akaitengua kwa kiuno chake mwenyewe uyo kaka..AKIMPA MCHEzO MZURI,UKIWA UNAMPA VYOOOOOOOOTE AKARIDHIKA aahhh nakwambia kanuni iyo ataitengua mwenyewe...lakin km mchezo ukimpa robo robo lazima akuone msumbufu tu na kukupa ratiba ya game...CHEZA VYEMA KAKANGU DAILY ATAKUWA anakuulizia jion...dia ukitoka job una ratiba gan?unaweza pitia kwangu jion?...KAZA KIUNO MWAGHA MAUFUNDI....
KIPENGELE cha cnn ahh poa tu asi ndo atakua anakubrfu na wewe...
...endelea ku search mwana!!! wote hao miyeyusho tuuuuu
siku hizi arifu lazima na ladha tofauti tofauti ukiboreka uku waamia kwingine......Inaonekana wewe suala zima la kupambana na magonjwa ya kuambukiza halipo kabisa katika mtima
wako,wanawake wote hao wanini?
Na inavyoonekana hapa una list ndefu ila tu wengine hukutaka kututajia,kiukweli ni ngumu sana kwako kuchagua
mmoja wapo wa hawa wanawake kwani wote wana vitu ambavyo vina upungufu kwako na ili kuvipata ni lazima
uende kwa mwingine hivyo itakuwa ni vigumu sana kwako kuchagua mmojawapo wa hao wanawake.
Nakushauri tu urudi kwa muumba wako maana shetani anakutumia ipasavyo
siku hizi arifu lazima na ladha tofauti tofauti ukiboreka uku waamia kwingine......
Ili niweze kutoa ushauri mahususi ni vema nikawacheki hao watu wako...personally...
Hook me up with them...
weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee koma.
ishia apo apo.
Hebu subiri kwanza basi.... Yo Yo akukubali tutaongea...right?
apana
katika ili HAYAZUNGUMZIKI
acha kabsa tena urudsha majesh nyuma..
Wajua nini mi nakushauri uwe na mafiga matatu huyo wa mapene, denti na shost wa kitaa
Unajua unabaka haki ya Yo Yo kutoa maamuzi????
Hepi nyu yia......:wink2:
nakuzingatia
:alien::alien:
mmh kawivu kdg mbwiga..thou nakuamini KWA SABABU BEB BOY MPYA anaride KM HANA AKILI NZURI!!!!Shost hiyo ndio nini tena
Shost ahhh bas naomba tufute ushoga.Hapi nyu yia na kwako pia umekimbia darasa sio au kiuno kiliuma sana
Hapi nyu yia na kwako pia umekimbia darasa sio au kiuno kiliuma sana