hii sh ngapi? chagua hii
Ghali sana mkuu, max 500,000 ama labda umuongezee kidogo nauli ya kupeleka Tabora.Hii ina Ram GB 6 na internal GB 128 bei 580,000 kwa Tabora,huko dar bei gani ili niombe apunguze hapa dukani?
Redmi note 9s ndio nzuri zaidi kwa hii bei pengine kajichanganya. Ni bei nzuri sana kwa hii simu.Hii kasema 430,000
Ebu fungua bettery angalia ni 4000, 5000, 6000 au 7000?S kasema 430,000
Nunua kkoo, 490,000 kama bado zipo.Redmi 9s kasema 680,000