Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,984 Reaction score 11,794 Nov 18, 2016 #21 Nenda hiyo ya pili, halafu niunganishe mimi na hiyo ya 1.4 Mil nipate kusogeza siku mkuu huku mtaani hali ni tete sana.
Nenda hiyo ya pili, halafu niunganishe mimi na hiyo ya 1.4 Mil nipate kusogeza siku mkuu huku mtaani hali ni tete sana.
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Nov 18, 2016 Thread starter #22 Nelly Mtengwa said: Kuwa makini, sherehe mbili zilimponza fisi!! Click to expand... Sawa Mkuu!
hangakwee Member Joined May 2, 2016 Posts 96 Reaction score 54 Nov 18, 2016 #23 Mkuu nimekupm chck msg
Mebuttefly Senior Member Joined Feb 5, 2014 Posts 114 Reaction score 94 Nov 18, 2016 #24 Hongera una bahati ,kwa Mimi Mwaka ungenitosha ningekuwa nimepata mtaji..
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,193 Reaction score 74,005 Nov 18, 2016 #25 Kayoka said: Karibu PM kwa ushauri na mawasiliano zaidi. Click to expand... Nimekupm kiongozi.