Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,366
- 2,151
Habari Wakuu!
Nafanya kazi international NGO moja huku kanda ya ziwa kwa mkataba wa part time miezi sita sita, nalipwa kwa kila siku ninayofanya kazi, nisipokuwepo kazini silipwi hata kama naumwa au nimefiwa. Nikifanya kazi mfululizo kwa mwezi napata malipo yasiyopungua 1. 4M, mpaka sasa nimetimiza mwaka mmoja kazini ila sioni maendeleo yoyote kazini.
Mapema mwezi huu nikifanya usaili shirika lingine na nimeitwa kuanza kazi (contract ya miezi mitano mitano full time), mshahara kwa mwezi ni laki 8.6 huku nikikatwa NSSF kwenye huo mshahara.
Tupeane ushauri Wakuu, niko dilemma mwenzenu ni maamuzi gani nifanye kati ya kuendelea kufanya kazi kama PART TIME au FULL TIME ?