kisana kiki
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 266
- 287
- Thread starter
- #21
Kwa kweli private kama unapenda career growth na future nzuri unatakiwa uende huko ila kama unapenda kudumaa nenda serikalini private sector kwa miaka mitano au sita unakua umeshafika hata level ya umanager lakini serikalini ni changamoto sana ila ku survive private na kukua unatakiwa uwe mtu wa kukaa kampuni fulani miaka i.e miwili halafu unatafuta sehemu ingine ya cheo cha juu xaidi utaona maisha mepesi ila kama unataka ukae sehemu moja mpaka ufukuzwe huko private utapata tabu sana...
Nimekupata vizuri sana na ndio lengo langu.
Nataka angalau Mwisho wa mwaka 2022, niwe nimepanda daraja kama sio maslahi kwa kufanya kazi vizuri mwaka mzima.