Nice Sunday Chit-Chatters

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,199
Reaction score
855
Morning my people, wish everyone a marvelous Sunday, ngoja nakimbilia kanisani kupata upako.
Cherio!. . .
 
Daaaah yaani mpaka kuamka naona shida kutokana na mambo ya masanga ya jana.

Ngoja niende kwa mangi hapo nikapate kasupu na mtori ili mambo yawe sawia bin sawia.

Erickb52 jana ulipona kweli na zile ndofyu zako ulizokuwa unazikataa kumbe unazipenda.
 

Mmmh wewe!
 
Utakuwa ulinifananisha aisee Mzee wa Rula
 
Last edited by a moderator:
Sunday is ok,, nabembea na hangover zangu, hivi saivi natafuta direction ya kwa kina Madame B kwenye desbei, i mean besdei
 
Last edited by a moderator:
Sunday is ok,, nabembea na hangover zangu, hivi saivi natafuta direction ya kwa kina Madame B kwenye desbei, i mean besdei

Sawa sawa baba v, mi nimekaa zangu tu baada ya kupata pilau la nguvu(hiyo ni Sunday routine) niko naskilizia kitambi kinavyopanda na kushuka.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…