Niccolo Machiaveli anaasema hivi kwenye The Prince.

anasema fursa ni kama mwanamke, ili uzichukue na zikufae haitakiwi kuwa mpole na mwenye kusitasita.
upload_2016-12-28_18-18-12.png
 
anasema kiongozi inabidi kuwa kauzu na mwenye hila lakini ujue kuficha makucha.
upload_2016-12-28_22-31-12.png
 

Attachments

  • upload_2016-12-28_22-19-19.png
    upload_2016-12-28_22-19-19.png
    22.1 KB · Views: 54

Similar Discussions

Back
Top Bottom