NIC (T) LTD yatangaza kulipa madeni yake yote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NIC (T) LTD yatangaza kulipa madeni yake yote

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by quimby_joey, Feb 8, 2011.

 1. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Shirika la bima la taifa limetangaza rasmi leo kuwa wale wote ambao wanalidai shirika hilo waanze kufika katika ofisi za shirika hilo kwa ajili ya malipo ya madeni yao. Shirika hilo ambalo lilitangazwa kufilisika na kuwa chini ya wafilisi (CHC) mwaka 1998 sasa limesema tayari lina pesa ya kulipa wadeni wake wote.Jumla ya deni linalodaiwa shirika hilo ni kiasi cha zaidi ya shs bil. 30.

  Haya wale wote ambao hawakulipwa/wanadai stahiki zao kwa shirika kuanzia sasa wafike kwenye ofisi zao kwa malipo

  Source: NIC Head Office
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hii NIC itanyanyuka na baadae itasinyaaa si unakumbuka yale ya ATCL:twitch:
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Here i come, Here i go
   
Loading...