Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Juzi nlienda kumsalimia Dada angu kwake basi baada ya kukaa kidogo akaja mwanae akaanza kunambia anko KISIMI, hee nkashituka nkamwambia unasemaje ww akarudia tena KISIMI anko. Aisee nkashika bakora nikamchapa kweli ndo Dada anakuja anasema mtoto alimaanisha 'KISS ME'*
*Haya mambo ya kupeleka watoto shule za international ndo yanatuumbua ata sisi wenye vyeti feki kudadeki, pole anko mwaya*
*Haya mambo ya kupeleka watoto shule za international ndo yanatuumbua ata sisi wenye vyeti feki kudadeki, pole anko mwaya*