Nibora kuishi kama domo zege

Nibora kuishi kama domo zege

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Wakuu kwa matatizo ya kimapenzi yaliyonitokea kuanzia leo nimeamua kuwa domo zege rasmi.
Wadau naomba munijuze faida nitakazozipata endapo nitafanikiwa adhima yangu yakuwa domo zege,natakuliza shukurani zangu za dhati kabisa na moyo mkunjufu kwa watu wakanijuza faida ya kuwa domo zenge.

Asanteni sana.
 
Al junun funun.....

Mllttlltt moanoooaaa vulgeeiiisssiio tubtaeessssiiiiioiiiwa macooa tunnaaaaiioooaooeiiilla mighoiii sprsiiilliiieellleewiii llaaaiiissssiia lllaeae tutottiiiee mamaafacebook Avautsaieiee lltteelleewa lliiilllee tunnaaaaiioooaooeiiilla macooa noiii lleelllooo sprsaooa.
 
Last edited by a moderator:
Akaunt yako ya bank itaongezeka,mawazo yatapungua na utaish miaka ming sababu u wll nevr get hiv
 
Utaepuka Vikeskes Vya Mara Kwa Mar, Magonjwa Ya Kuambukizwa, Matumiz Ya Mgogo Na Magot Yatapungua Hvo Utakua Unajilalia Chal Tu, Pesa Itaonekana, Utajimwaga Ktandan Kwa Raha Zako, Matumiz Ya Vocha Yatapungua, Utakua Unapigiwa Na Wenzako Tu Haubipiw,
 
Kwi Kwi Kwiiii Shy Land Umekata Tamaa. Ningekua Cjaolewa Ningekusindikiza,
 
Hata kuiweka hii mada ya kuwa domo zege tayari ni faida
 
utanuka mdomo ndugu yangu Shyland usithubutu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom