Niapply chuo gani kusomea Doctor of Medicine(MD)?

UDSM inafanana sana Na Muhas coz hata maProf wanaofundisha UDSM wanatokea Muhas. Anyway jarib karata yako
Sijui watu kama hawa wanatokea wapi asee, mtu anaropoka tu kwa stori za vijiweni hana hata data.Kwa taarifa yako kuna malecturer wanafundisha md udsm wanatoka kwenye hivyo vyuo unavyoita vya kata. ukihitaji ntakutajia kwa majina.Halafu usikariri sio wote wanaofundisha chuo ni professors.HAKUNA professor wa muhimbili anaefundisha udsm, maprofesa wana mambo mengi ya kufanya sio kupiga party time kwenye hutwo tuvyuo twenu twa mwendokasi
Ulipata ngapi form four? Or u can apply for Doctor of dental surgery at Muhas coz MD kwa performance ya mwaka huu hutopata chuo kizuri like Muhas. Labda uende chuo cha kata kma kcmc
 
Kwa ufaulu wako huo sidhani kama utapata MD
Kwani Mwaka Huu ushindani mkubwa sana
Haijawahi kutokea ni shidaaaaaaaaaaaa
 
Exposer..ulimaanisha nini mkuu
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
i min mnasoma mmejifungia ndan ili mmalize course !
UDSM inafanana sana Na Muhas coz hata maProf wanaofundisha UDSM wanatokea Muhas. Anyway jarib karata yako
But mbn hata cc udom coz ni hv karibun tunafundishwa na waalim wa bugando u min we a even the same
 
i min mnasoma mmejifungia ndan ili mmalize course !

Kama ni exposure basi MUHAS wanayo as pale wana hospitali ya taifa yenye cases nyingi tofauti tofauti hivyo zile rotation zinawaweka wanafunzi kujua cases nyingi sana
 
Unapotosha kwa faida gani?Nani amekwambia MD ya MUHAS cut off points ni 5?
Uyo akiomba muhas MD anaeza pata maana ana BB+ na kwa taarifaako.
Grade za BRN azijabadrshwa chochote.
ni danganya toto ili walioahrsha mwaka wasiombe koz nzur kuongeza compttn.
kuna jamaa nmemfanyia amna badlko lolote la grade.
uyo muhas anapata.
ACHA KUKALILI.
Na mwaka huu wengi wana D plane.
 
Watu mnasema kcmc chuo cha kata? Ivi mnaongea kwa kusikia au kwa facts? Kozi ya medicine na laboratory science hata degree nursing wapo vizurii, vilishindanishwa hivo vyuo vyote vya medical tanzania kcmc ikawa best ni moja ya vyuo nane vya medical africa bora shauri zenu semeni cha kata
 
Uyo akiomba muhas MD anaeza pata maana ana BB+ na kwa taarifaako.
Grade za BRN azijabadrshwa chochote.
ni danganya toto ili walioahrsha mwaka wasiombe koz nzur kuongeza compttn.
kuna jamaa nmemfanyia amna badlko lolote la grade.
uyo muhas anapata.
ACHA KUKALILI.
Na mwaka huu wengi wana D plane.

Wewe,,umeona sehemu nimesema akiomba MUHAS hapati?

Acha kukurupuka kuquote watu na multiple ids zako
 
Wewe,,umeona sehemu nimesema akiomba MUHAS hapati?

Acha kukurupuka kuquote watu na multiple ids zako
Tulia dogo acha kukatisha mtu tamaa na aujui kitu.
wala ujui mabadrko ya grade yako vp.
anapata MUHAS MD.
kuna dogo 2015 alipata Phys C Chem B bio B bam B ila kaomba muhas.
100%awez kosa kwa hyo tulia na chuo chako cha kata.
usimkatishe mtu tamaa.
na walioahrsha mwaka ombeni MD muhas cuhas na kcmc 100% mnapata maana matokeo necta ilishayaingiza kwny systm za TCU now amna badrko lolote .
madogo weng waliojitahd wamepata D plane.
 
Acha upuuzi

Sijasema popote kuwa hapati MUHAS ila minimum required points for MD and Pharmacy ni strictly 8

Sijazuia mtu kuomba chuo chochote tusitafutiane ban za kishenzi

Idiot
 
Acheni malumbano wakuu. Hili ni jukwaa la elimu jamani na Tupeane ushauri panapotakiwa.

Nisaidieni na mimi. Nimesoma CBG na nikapata BBB mwaka 2015. Ila nimeomba
1- kcmc optometry
2-bugando nursing
3-kcmc prosthetics and orthotics
4-st johns pharmacy
5- st johns nursing.

Vipi hapo wakuu ninaweza pata? Lengo langu ni optometry ya kcmc
 
Back
Top Bottom