Niapply chuo gani kusomea Doctor of Medicine(MD)?

Acha upuuzi

Sijasema popote kuwa hapati MUHAS ila minimum required points for MD and Pharmacy ni strictly 8

Sijazuia mtu kuomba chuo chochote tusitafutiane ban za kishenzi

Idiot
Tulia ww nachuo chako cha theory bla vtendo.
Ndo maana medical lab degree mnafundishwa na watu wa diploma.
 
Sipendi hii tabia ya kubishania vyuo kwenye thread za watu, mtu kaanzisha thread asaidiwe ushauri nyie mnaleta malumbano, kama mnataka malumbano anzisheni thread yenu bwana.
 
Mpuuzi mmoja anakuja ananiquote from nowhere kwa vitu hata ambavyo sijavisema

Anyway nimeshampuuza
 
Tulia ww nachuo chako cha theory bla vtendo.
Ndo maana medical lab degree mnafundishwa na watu wa diploma.

Hii nakujibu for the last time.Ni bora akachagua vyuo vyenye ushhindani kidogo as mwaka jana TCU ilileta wanafunzi hapa na chuo kikawakataa

Nimekupuuza mkuu
 
Waheshimiwa naombeni msaada

Kulingana na cutting points walizitoa TCU mie nina point saba yani BB+ in chemistry and biology f6 2015. Niombe chuo kipi kwa MD?
daahh yaan ndalichako hatare
B=D
B+= C ila medicine imebanwa sana aisee mwaka huu mkuu ila unaweza kupata usikate tamaa
 
Acheni malumbano wakuu. Hili ni jukwaa la elimu jamani na Tupeane ushauri panapotakiwa.

Nisaidieni na mimi. Nimesoma CBG na nikapata BBB mwaka 2015. Ila nimeomba
1- kcmc optometry
2-bugando nursing
3-kcmc prosthetics and orthotics
4-st johns pharmacy
5- st johns nursing.

Vipi hapo wakuu ninaweza pata? Lengo langu ni optometry ya kcmc
Optometry siifaham vizur but kwa nursing waweza pata.kuhusu bpharm sina hakika kama CBG anaweza soma bpharm. Labda kwa kcmc lakin kwa Muhas hunus kabisa
 
Ok sawa mkuu ila nimeomba ya st john hiyo b pharm
Yeap kwa hapo utapata. But kuna kozi nyingi za afya. Kuna environmental health pia kuna bachelor ya medical lab kwa Muhas wanaweza kukuconsider. Lakin hata st John n kwa bpharm is OK. Kikubwa usome kile roho yako inakuelekeza
 
Tulia dogo acha kukatisha mtu tamaa na aujui kitu.
wala ujui mabadrko ya grade yako vp.
anapata MUHAS MD.
kuna dogo 2015 alipata Phys C Chem B bio B bam B ila kaomba muhas.
100%awez kosa kwa hyo tulia na chuo chako cha kata.
usimkatishe mtu tamaa.
na walioahrsha mwaka ombeni MD muhas cuhas na kcmc 100% mnapata maana matokeo necta ilishayaingiza kwny systm za TCU now amna badrko lolote .
madogo weng waliojitahd wamepata D plane.
Ni vyema ukawashauri kuangalia TCU guide book. Muhas MD ni points 8 zinatakiwa
 
Acheni malumbano wakuu. Hili ni jukwaa la elimu jamani na Tupeane ushauri panapotakiwa.

Nisaidieni na mimi. Nimesoma CBG na nikapata BBB mwaka 2015. Ila nimeomba
1- kcmc optometry
2-bugando nursing
3-kcmc prosthetics and orthotics
4-st johns pharmacy
5- st johns nursing.

Vipi hapo wakuu ninaweza pata? Lengo langu ni optometry ya kcmc
Form four ulisoma physics?
 
Optometry siifaham vizur but kwa nursing waweza pata.kuhusu bpharm sina hakika kama CBG anaweza soma bpharm. Labda kwa kcmc lakin kwa Muhas hunus kabisa
Kama amesoma physics Muhas atanusa kusoma Nursing na Environmental Science. Pia kama umefaulu vizuri MD na Pharmacy walikuwa wanapokea CBG enzi zetu sijui km kuna mabadiliko ya Ndalichako
 
Ni kweli inawezekana wakati wenu ilikuwa hivyo but currently haipo tena. Na washikaj zangu waliosoma CBG Na wakafaul vizur tu by 2013 but hawakupata nafas MUHAS . Na kwa mwaka wetu 2013 wavulana waliishia kuchukua wenye Div 11 ya 10 Na wenye div one tuu. Girls walichukua mpaka wenye div two ya 11. So namshaur before hajaaply a evaluate matokeo ya mwaka huu hasa kwa sayansi kisha afanye maamuz ya busara. Kwetu ss by that time matokeo hayakuwa mazur overall coz TO alikuwa Na div one ya 6 so ilikuwa rahis kwa wale tuliokuwa Na wan za mwisho kupata Muhas. That's all
 
So thanks wakuu, ila competition ya medical lab cuhas naona imekua kubwa
 
Acheni malumbano wakuu. Hili ni jukwaa la elimu jamani na Tupeane ushauri panapotakiwa.

Nisaidieni na mimi. Nimesoma CBG na nikapata BBB mwaka 2015. Ila nimeomba
1- kcmc optometry
2-bugando nursing
3-kcmc prosthetics and orthotics
4-st johns pharmacy
5- st johns nursing.

Vipi hapo wakuu ninaweza pata? Lengo langu ni optometry ya kcmc
Namba tatu iko poaa sana
 
Ni kweli inawezekana wakati wenu ilikuwa hivyo but currently haipo tena. Na washikaj zangu waliosoma CBG Na wakafaul vizur tu by 2013 but hawakupata nafas MUHAS . Na kwa mwaka wetu 2013 wavulana waliishia kuchukua wenye Div 11 ya 10 Na wenye div one tuu. Girls walichukua mpaka wenye div two ya 11. So namshaur before hajaaply a evaluate matokeo ya mwaka huu hasa kwa sayansi kisha afanye maamuz ya busara. Kwetu ss by that time matokeo hayakuwa mazur overall coz TO alikuwa Na div one ya 6 so ilikuwa rahis kwa wale tuliokuwa Na wan za mwisho kupata Muhas. That's all
Sorry nilimaanisha enzi zetu walipokelewa Bugando sasa ni CUHAS kusoma MD na Pharmacy. Probably Muhas hata division two zitapungua pia. Enzi zetu division two walkuwa wanahesabika pia
 
Watu mnasema kcmc chuo cha kata? Ivi mnaongea kwa kusikia au kwa facts? Kozi ya medicine na laboratory science hata degree nursing wapo vizurii, vilishindanishwa hivo vyuo vyote vya medical tanzania kcmc ikawa best ni moja ya vyuo nane vya medical africa bora shauri zenu semeni cha kata
KCMC ni chuo cha kawaida sana...Mara nyingi ni kimbilio la waliopata Div Three..

Bugando is far better than KCMC..
 
Back
Top Bottom