Niapply chuo gani kusomea Doctor of Medicine(MD)?

msaada...nna division 2 ya 12 form six PCB phys E Chem D na bio C name form four nlikuwa na div 1 ya 17 nmeapply
chuo KCMC kozi ya prosthetics & orthotics na competition kiujumla ni applicants 22 wakati admission capacity ni 15 je
nnaweza kupata nafasi au nbadilishe machaguo?!...
 
Humu hakuna mwenye majibu.Ushindani ndio unaamua

Unaweza kubadili choices kumbe wewe umewazidi applicants wote au wengi wao hivyo ungepata

Unaweza kuacha kumbe wamekuzidi wote hivyo ukakosa.Hapa ni kutake risk tu ndio maana kuna machaguo matano.
 
Acheni kubishania ubora wa, chuo chuo bora ni kile kinachochukua watu bora na makini zaidi ushawahi kuona mtu ana tatu afu eti kasome KCMC kama wapo basi hawazidi wawili per intake wengi wanaoenda kule ni wale wasiokuwa na sifa za kuchaguliwa MUHAS hata ukishindikana kutibiwa muhasi huwezi pelekwa KCMC utapelekwa nje
 
Hakuna hospitali inayoitwa MUHAS
 
Back
Top Bottom