Nianzishe story gani.

Nianzishe story gani.

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
3,831
Reaction score
1,173
Najitahidi kutafuta hata story ya kutunga tu ili nianzishie thread 'Cheat-Chat' lakini zote zinakataa. Huwa sina raha kabisa nikimaliza siku mbili bila kupost kitu.
 
Najitahidi kutafuta hata story ya kutunga tu ili nianzishie thread 'Cheat-Chat' lakini zote zinakataa. Huwa sina raha kabisa nikimaliza siku mbili bila kupost kitu.
Mponde Maxence mello, na PAW
 
Bwana yesu asifiwe mwita25!,
Nimekusalimia ila nina hofu moyon lol!
 
Anzisha ya 'Mchango wa Harusi ya Mwita25 na mtoto wa Mwamndenyi aka Feisibuku'
 
Nilikuwepo ila nilikuwa nakwepesha macho yangu yasigongane nako!
Macho yako makali sana mpaka naogopa,
Salama lkn?

Ha ha ha, mi niliondoka walivyoanza kuchangisha michango ya kwaya.
 
Nashukuru,kwa vile kanisani huwa unakuwa mtulivu,
Haufurumushi maneno makali km huku lol!

tehe tehe, si unajua tena kanisani wamenipandisha cheo wiki mbili zilizopita kwahiyo inabidi niwe mfano wa kuigwa
 
Najitahidi kutafuta hata story ya kutunga tu ili nianzishie thread 'Cheat-Chat' lakini zote zinakataa. Huwa sina raha kabisa nikimaliza siku mbili bila kupost kitu.

Mkeo mama wa kichaga hajambo??? akifikisha miaka 29 naomba unialike kwenye birthday yake nna zawadi yake ..najua bado uko dodoma huna ujanja..
 
tehe tehe, si unajua tena kanisani wamenipandisha cheo wiki mbili zilizopita kwahiyo inabidi niwe mfano wa kuigwa

Hapa tu ndio unanuiachaga hoi,
Unajua kujipa misifa na promo dah!
Kwani before ulikuwa na cheo gani mwita?
 
Back
Top Bottom