MwaikamboN
Member
- Sep 21, 2020
- 38
- 23
Kwa kuongezea hapo ni kwamba navyo jua mimi ni kwamba ukiwa unachangia kwa hiari utaendelea kufanya hivyo ili kuendelea kuweka akiba yako iweze kuja kukusaidia hapo baadaeNenda NSSF iliyokuwa inahudumia vikahakikiwe , kama viko timamu utasubiri miezi 3 kisha uanze kulipwa asilia 33 kila mwezi kwa miezi sita ...kisha utakaa miezi 18 ndio pesa yako ihamishiwe mfuko wa hiari ambako utaamua kuichukua ama kuiacha
NB. Cheti chako cha utumishi ndio kinaweza kukuokoa ama kukuangamiza kuchukua mafao yako ...kwakuwa kama kimeandikwa kazi yako haikuwa ya ujuzi utapata fungu lako lote hapohapo
Mmh hapo sijui sasa..ila kama huna ajira huwezi kutakiwa kuleta cheti cha utumishi
sawa ila ujumbe umeupataUnataka nikutukane bure. FANYA yako mazee
AsanteKwa wewe huna sifa za kuandika hiyo barua, wewe utaenda na barua yako ya kuisha kwa mkataba pamoja na kitambulisho cha NSSF watakupa fomu za kufungua madai, kwa kuwa toka uondoke kazini bado miezi sita haijapita kwa hiyo utaratibu wa NSSF haukuruhusu kuandika barua ya kuomba kibali cha kufungua madai. Wai kufungua madai kabla ya miezi sita kupita.
Mku cheti za utumishi unamaanisha certificate of service ambacho alinipa mwajiri sio auNenda NSSF iliyokuwa inahudumia vikahakikiwe , kama viko timamu utasubiri miezi 3 kisha uanze kulipwa asilia 33 kila mwezi kwa miezi sita ...kisha utakaa miezi 18 ndio pesa yako ihamishiwe mfuko wa hiari ambako utaamua kuichukua ama kuiacha
NB. Cheti chako cha utumishi ndio kinaweza kukuokoa ama kukuangamiza kuchukua mafao yako ...kwakuwa kama kimeandikwa kazi yako haikuwa ya ujuzi utapata fungu lako lote hapohapo
Habari za mida hii Bandugu, twende kwa hoja moja kwa moja, mimi nilifanya kazi taasisi moja ya kiserikali sasa mkataba wangu wa kazi umeisha tokea mwaka 2019.
Sikuongeza tena mkataba na pia sikufatilia mafao yangu NSSF sababu nilisafiri mbali kumuuguza Mzee wangu now nimerudi wadau nianzie wapi msaada wenu.
Hao wengine wanatuchanganyia madesa tu nimelipwa FAO LA kutokuwa na ajira sijaona hiko cheti cha utumishiCheti cha utumishi ndio kipoje?
Kinapatikanaje?
If you just quit job/ get fired/ redudancy unakipata au which is which?
Cheti cha utumishi ndio kipoje?
Kinapatikanaje?
If you just quit job/ get fired/ redudancy unakipata au which is which?
Pesa inatoka ukiwa umefukuzwa pekee au hata kama mkataba umeisha??Subiri miaka yako igote 55. Vinginevyo wahi NSSF ukadai fao la kukosa ajira upewe hela ya fegi kila mwezi baada ya miezi 6 tangu umefukuzwa
Nauliza, kwa anaemaliza mkataba (asiefukuzwa) nae anaweza kupata stahiki ake ??? Mfano mashirika binafsi.Unakipata ukimaliza mkataba
kwani lile swala la mpaka baada ya miaka 60 ilishafutwa?? kumbe now fao la kujitoa limerejea au sijaelewaAcheni kumpotosha jamaa Mimi mwenyewe ni muhanga wa hili suala mkataba wangu wa kazi uliisha 2016 lakini sikufatilia mafao yangu, Siku ya kufatilia ilibidi niandike barua ya kuomba kibali cha kufungua mafao. Barua yangu ilipooitishwa ndio nikafungua mafao na mpaka muda huu tunavyoongea tayari nimeshalipwa pesa yangu, Acheni kumpotosha jamaa.
Hili sina hakika naloNauliza, kwa anaemaliza mkataba (asiefukuzwa) nae anaweza kupata stahiki ake ??? Mfano mashirika binafsi.
Hapo Kwenye NIDA, vipi kama una namba tu, id bado?Cheti cha utumishi sio lazima, hapo kiondoe.
Vinavyohitajiwa kwa ulazima:-
Barua ya mwisho wa mkataba
Kitambulisho cha NSSF.
Picha tatu za rangi.
Bank Statement.
Pamoja Nakala ya kitambulisho cha mpigakura/NIDA.
siku hizi wanalipa?? asilimia ngapi?? sio tena mpaka miaka 60Mimi nilijaza fomu za FAO LA kutokuwa na ajira sikuona hicho kitu na tayari nimeshalipwa.
Sasa hivi kuna FAO LA kutokuwa na ajira kwa wale ambao kazi zao ni za kitaaluma kama mhandisi, daktari, mhasibu n.k, Vilevile FAO LA kujitoa bado linaendelea kwa wale ambao kazi zao sio za kitaaluma, let say vibarua katika viwanda, miradi ya ujenzi na n.kkwani lile swala la mpaka baada ya miaka 60 ilishafutwa?? kumbe now fao la kujitoa limerejea au sijaelewa
hilo fao lilikuwepo tangu zamani au jipya,kuna tofauti gani kati ya hayo mafao mawiliSasa hivi kuna FAO LA kutokuwa na ajira hakuna FAO LA kujitoa.