maruudaniel
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 888
- 1,075
Mku hiyo barua ninatakiwa waandikie nssf nao watanijibu au inakuwaje.Acheni kumpotosha jamaa Mimi mwenyewe ni muhanga wa hili suala mkataba wangu wa kazi uliisha 2016 lakini sikufatilia mafao yangu, Siku ya kufatilia ilibidi niandike barua ya kuomba kibali cha kufungua mafao. Barua yangu ilipooitishwa ndio nikafungua mafao na mpaka muda huu tunavyoongea tayari nimeshalipwa pesa yangu, Acheni kumpotosha jamaa.
mkuu kutoa taarifa za uongo ni kosa kisheria, acha uongo.Akafuatilie tu, maana wewe unajua zaidi.
Jambo la msingi unapaswa kunua hiyo pesa huwa haitolewi kirahisi hata kama wewe ni mstaafu wa miaka 60.
Unataka nikutukane bure. FANYA yako mazeemkuu kutoa taarifa za uongo ni kosa kisheria, acha uongo.
Kulipwa pesa yako yote inategemea kama ulikuwa unafanya kazi ambayo si ya kitaaluma let say kibarua basi utapewa pesa yako yote wewe utapewa fomu ya malipo ya mkupuo maalumu, lakini kama ulikuwa unafanya kazi za kitaaluma let say mhasibu, daktari, mhandisi wewe hautolipwa pesa yote isipokuwa utalipwa kulingana na sheria za FAO LA kutokuwa na ajira ambazo zinazotumika sasa hivi kulingana na muda uliofanya kazi. Kama umefanya kazi kwa miezi chini ya 18 basi utalipwa asilimia 50 ya kile ulichokichangia na utalipwa kwa mkupuo, na kama umefanya kazi kuanzia miezi 18 na kuendelea basi utakuwa unalipwa asilimia 33.3 ya mshahara wako wa mwisho kwa kipindi cha miezi sita mfululizo. Kiasi kinachobaki utalipwa baada ya kutimiza 55 years.Mku naomba kujua kama umepata Ridandansi na hutaki tena kuajiriwa naweza kulipwa fedha zangu zote .
Ahsante kwa kunisaidia ndugu yangu.mkuu kutoa taarifa za uongo ni kosa kisheria, acha uongo.
Asante ndugu yangu namna ya kuandika barua ikoje nduguAcheni kumpotosha jamaa Mimi mwenyewe ni muhanga wa hili suala mkataba wangu wa kazi uliisha 2016 lakini sikufatilia mafao yangu, Siku ya kufatilia ilibidi niandike barua ya kuomba kibali cha kufungua mafao. Barua yangu ilipooitishwa ndio nikafungua mafao na mpaka muda huu tunavyoongea tayari nimeshalipwa pesa yangu, Acheni kumpotosha jamaa.
Nilikuwa nafanya masijala ambayo sikusomea hiyo kazi kwani nianza kama kibarua yaani ile unaambiwa panga hiki pale na kinaitwa hivi mwisho ile kazi nikaijua vizuri.Kama kazi uliyokuwa unafanya haikuwa ya kitaaluma, unaweza kupata pesa yako yote.
Yaani ukifika pale NSSF ofisi yoyote ile utaona wamekuwekea mfano wa hiyo barua kwenye ubao wao wa matangazo wala hili suala lisikuumize akili na kingine kama utafungua madai yako kwenye ofisi ambayo haina msongamano wa watu wengi basi hutochukua muda utakuwa umeshalipwa pesa yako achana na porojo za watu wengine kazi yao ni kukatisha tamaa watu.Asante ndugu yangu namna ya kuandika barua ikoje ndugu
Barua yako ya kuisha kwa mkataba imesema uliajiliwa kama nani?Nilikuwa nafanya masijala ambayo sikusomea hiyo kazi kwani nianza kama kibarua yaani ile unaambiwa panga hiki pale na kinaitwa hivi mwisho ile kazi nikaijua vizuri.
Nilivyoendelea bosi wa kile kitengo alikuwa na vitengo viwili kilichofuata ktk kimoja kukatokea wizi wa Fedha.
Baada kutokea wizi Mabosi wangu wote walifukuzwa kazi na baada kufukuzwa Mimi niliajiriwa kama Officer ktk hicho kitengo
Barua ya kusitisha/ kumaliza mkatabaHabari za mida hii Bandugu, twende kwa hoja moja kwa moja, mimi nilifanya kazi taasisi moja ya kiserikali sasa mkataba wangu wa kazi umeisha tokea mwaka 2019.
Sikuongeza tena mkataba na pia sikufatilia mafao yangu NSSF sababu nilisafiri mbali kumuuguza Mzee wangu now nimerudi wadau nianzie wapi msaada wenu.
Halafu jamaa umeeleza vizuri sana baada ya jamaa kukamilisha vyote kwa kuongezea tu atalipwa kwenye Mfuko aliochangia zaidi kama ni NSSF atalipwa huko kama ni PSSSF atalipwa huko pia. Halafu uhakikishe kuwa uliachishwa kazi na sio kuacha wewe mwenyeweBarua ya kusitisha/ kumaliza mkataba
Cheti cha utumishi
Picha
Bank statement
Form ya NSSF
nknk
Cheti cha utumishi sio lazima, hapo kiondoe.Barua ya kusitisha/ kumaliza mkataba
Cheti cha utumishi
Picha
Bank statement
Form ya NSSF
nknk
Kwasasa ni lazima ..last yeah wakati nafuatilia kilidaiwa na kiko kwenye orodha ya vitu vinavyohitajikaCheti cha utumishi sio lazima, hapo kiondoe.
Mm ridandansi nilipata mwaka jana November je ninaweza kuandika baruaYaani ukifika pale NSSF ofisi yoyote ile utaona wamekuwekea mfano wa hiyo barua kwenye ubao wao wa matangazo wala hili suala lisikuumize akili na kingine kama utafungua madai yako kwenye ofisi ambayo haina msongamano wa watu wengi basi hutochukua muda utakuwa umeshalipwa pesa yako achana na porojo za watu wengine kazi yao ni kukatisha tamaa watu.
Mku MshanaJr: Hivi vyote ninavyo mkononi kama wiki mbili zilizopitaBarua ya kusitisha/ kumaliza mkataba
Cheti cha utumishi
Picha
Bank statement
Form ya NSSF
nknk
Kwa wewe huna sifa za kuandika hiyo barua, wewe utaenda na barua yako ya kuisha kwa mkataba pamoja na kitambulisho cha NSSF watakupa fomu za kufungua madai, kwa kuwa toka uondoke kazini bado miezi sita haijapita kwa hiyo utaratibu wa NSSF haukuruhusu kuandika barua ya kuomba kibali cha kufungua madai. Wai kufungua madai kabla ya miezi sita kupita.Mm ridandansi nilipata mwaka jana November je ninaweza kuandika barua
Mimi nilijaza fomu za FAO LA kutokuwa na ajira sikuona hicho kitu na tayari nimeshalipwa.Kwasasa ni lazima ..last yeah wakati nafuatilia kilidaiwa na kiko kwenye orodha ya vitu vinavyohitajika
Nenda ofisi ya nssf ambayo michango yako ilikua inalipiwa ukiwa na barua yako ya kuisha kwa mkatabaHabari za mida hii Bandugu, twende kwa hoja moja kwa moja, mimi nilifanya kazi taasisi moja ya kiserikali sasa mkataba wangu wa kazi umeisha tokea mwaka 2019.
Sikuongeza tena mkataba na pia sikufatilia mafao yangu NSSF sababu nilisafiri mbali kumuuguza Mzee wangu now nimerudi wadau nianzie wapi msaada wenu.
Nenda NSSF iliyokuwa inahudumia vikahakikiwe , kama viko timamu utasubiri miezi 3 kisha uanze kulipwa asilia 33 kila mwezi kwa miezi sita ...kisha utakaa miezi 18 ndio pesa yako ihamishiwe mfuko wa hiari ambako utaamua kuichukua ama kuiachaMku MshanaJr: Hivi vyote ninavyo mkononi kama wiki mbili zilizopita
Mmh hapo sijui sasa..ila kama huna ajira huwezi kutakiwa kuleta cheti cha utumishiMimi nilijaza fomu za FAO LA kutokuwa na ajira sikuona hicho kitu na tayari nimeshalipwa.