Tukifananisha teuzi za juu kutoka mamlaka za juu na Professional yoyote bado teuzi hizo ni bora sana. Ndio maana ma- engineer na ma- professor wanapigania ubunge ili wapate teuzi za uwaziri.

Shida iliopo ni kupewa nafasi kwa kujuana, CPA (T) na ukuu wa mkoa wapi na wapi.
Sorry content manager asije akafuta my thread kutokana na kubadilishwa maudhui kwenye replies
NB: Tuko educational forum mkuu tujadili kihivyo tu