karibu sana, ni huku Ntwala, kijiji cha Nanjilinji hahhaahahahaHongera kama ni kweli mkuu
Ntwala au Mtwara haina sehemu inayoitwa Nanjilinji. Nanjilinji iko mkoa wa Lindi. Ni sawa useme Kijiji cha Masaki Morogoro. Ambapo ukweli ni kwamba Masaki iko Kisarawe mkoa wa Pwani, lakini ukweli mwingine ni kwamba Mkoa wa Pwani na Morogoro inapakana na makabila mawili yanasikilizana yaani Wazaramo na Waluguru.karibu sana, ni huku Ntwala, kijiji cha Nanjilinji hahhaahahaha
ahsante sana mkuuNtwala au Mtwara haina sehemu inayoitwa Nanjilinji. Nanjilinji iko mkoa wa Lindi. Ni sawa useme Kijiji cha Masaki Morogoro. Ambapo ukweli ni kwamba Masaki iko Kisarawe mkoa wa Pwani, lakini ukweli mwingine ni kwamba Mkoa wa Pwani na Morogoro inapakana na makabila mawili yanasikilizana yaani Wazaramo na Waluguru.
Sasa Nanjilinji iko mkoa wa Lindi, lakini mkoa wa Lindi ni kweli unapakana na Mtwara na makabila yao yanasikilizana ingawa siyo wote. Nilitaka kuweka kumbukumbu sawa, ili kuondoa upotoshaji!