Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 366
- 792
Asante utaukuta bila shida karibu Sana..Mungu akubariki kwa kushiriki hapamaharage ya nazi na wali wa nazi,
Baada ya pqsaka nitaboresha wazo lako .Asante sana na karibuNapenda ugali+nyama choma au kukaangwa+ maharage +mbogamboga, Samaki wa kukaangwa pia[emoji1690]
aisee, ntalamba hadi sahani yenyewe, ntaja kukuungisha weekend hii maana siko mbali na hapoAsante utaukuta bila shida karibu Sana..Mungu akubariki kwa kushiriki hapa
Kale ka inye kumbe hakijaja kwa bahatiNapenda ugali+nyama choma au kukaangwa+ maharage +mbogamboga, Samaki wa kukaangwa pia๐ค
Sawa karibuaisee, ntalamba hadi sahani yenyewe, ntaja kukuungisha weekend hii maana siko mbali na hapo
Kainye gani tena Extrovert wewe?๐ mwili haujengwi kwa mitofali ujue๐Kale ka inye kumbe hakijaja kwa bahati
Barikiwa,ila mlenda Ni isue ,vinginevyo[emoji39]Mchana-Ugali,dagaa na mlenda.
Asubuhi-Supu ya mbuzi,chapati 2 na pepsi ya bariidi.
Usiku-wali na samaki.
Kila la heri kwenye biashara yako.
Vinginevyo vyoteee vipo,kasoro mlenda,ila hakuna lisilowezekana,naweza weka ,Moro hapo ukisafir Kuna mlenda niliwahi kula nikisafir kwenda mwanza ..Asante kwa wazoBarikiwa,ila mlenda Ni isue ,vinginevyo[emoji39]
Kale ka kichuguu ambako Sir God amekubless nako (Pon de Tail)๐Kainye gani tena Extrovert wewe?๐ mwili haujengwi kwa mitofali ujue๐
Kha haya bana ๐Kale ka kichuguu ambako Sir God amekubless nako (Pon de Tail)๐
Ahsante na ukishaboresha nijulishe mkuu tutakuja kuzindua na babe wangu Extrovert ๐Baada ya pqsaka nitaboresha wazo lako .Asante sana na karibu