niaje, nivp kuhusu mzumbe secondary? wamzumbe 2juliane.

Mhoja Mhoja

Member
Jan 28, 2013
26
2
Yes Guys kuhusu mzumbe sec school 2ambiane jamani.

(1) kwanz ina combinantion ngapi?
(2) miundo mbinu niaje?
(3) maisha ya kischool yamekaaje?
 
-------- MKUBWA WEWE.
nyie ndio mnaoitwa special student.......Laana ya Mungu hii,ila hongera bwana

KWAHERI SEKONDARI uploadfromtaptalk1374305140875.jpg YA MZUMBE
 
ina combination tatu pcm,pcb,na hgl.
kuhusu walimu ni kama shule zingine za serikali tu..uwezo wako wa kusoma sana ndo utakaokutoa hapo...
kuhusu mazingira ya shule co mazuri sana miundombinu imechakaa..
kuhusu msosi n mzuri kila cku, ucku wali na maharage kila baada ya wiku mbil pilau nyama..na mchana ugali maharage....hyo n ratba nillacha miaka mwl iliyopta sasa cjui kama imebadlika.
note..nenda kasome kijana usianze kwenda changarawe na mu....
 
yes guys kuhusu mzumbe sec school 2ambiane jamani.

(1) kwanz ina combinantion ngapi?
(2) miundo mbinu niaje?
(3) maisha ya kischool yamekaaje?

hongera kwa kuchaguliwa special school, nimemaliza hapo o level advance nkaenda taboraboys
 
]hongera kwa kuchaguliwa special school, nimemaliza hapo o level advance nkaenda taboraboys[/QUOTE]

****wow, Nawe pia hongera,
now uko cha ngapi au ndo unaingia mwaka huu?*****
 
Walimu tatizo, kubaya kimazingira(ila kimsuli kuzuri), msosi poa fresh, ni magofu tu, uhakika wa kufaulu kuingia chuo zaidi ya 95%, mnafundishana wenyewe, mtashindana na marian na kibaha,utapata heshima kitaa, utafundisha wanachuo qms. Bila mzumbe safari ya Udsm ingekuwa ngumu, determination is our moto
 
dogo saafi kwa kuchaguliwa hapo unaakili ukoo wenu umepata kichwaa

Nilipopata matokeo ya kidato cha nne home walichukulia kawaida maana sikuwa wa kwanza kupass Form four,Ngoma ilinoga baada ya post kutoka naenda Ilboru,Mtaa mzima ulizizima kwa Furaha.
Nashukuru nilizilipa furaha za wanakijiji wale.
 
Back
Top Bottom