niaje jamani nihitaji msahada wa bundle ya internet free tgo

niaje jamani nihitaji msahada wa bundle ya internet free tgo

Sidhani kama inapatikana humu,labda ujaribu kupiga namba 100 kisha usikilize maelekezo.
Anyway,karibu sana kwenye jukwaa..
 
Free za bure hakuna ila zipo za kulipia we sema una sh ngapi tukuuzie
 
Chakufanya recharge card yako with tsh 500 voucher or more,then anza kubrowse bila registration
 
Hawa Form Four wa mwaka 2012, balaa tupu!
 
Duh...first post tayari unataka vya dezo...:A S 39::A S 39:
 
Back
Top Bottom