Niagize gari gani kwa bajeti ya Tsh milioni 17?

Wakuu msaada wa selection ya gari nzuri (based on muonekano, economy na performance) bajeti 14 - 17 mwisho. Gari kwa ajili ya route tu mitaani na trip tatu/nne kwa mwaka za dar mwanza.
My suggestion ilikua toyota auris au blade… napokea na ushauri kwa magari hayo!
Economy na performance haviwezi kaa sehemu moja.

Bado hujajua unachokitaka.
 
Namaanisha gari ambayo ina balance kati ya hvyo vitu viwili! Mfano hyo toyota blade ina cc 2400 na inatumia 1ltr to 13-16km! Najua uwez kupata gari ya performance kubwa zaidi alafu ikawa economy but nilichomaanisha ni atleast kuwe na uwiano between mkuu.
 
Wakuu msaada wa selection ya gari nzuri (based on muonekano, economy na performance) bajeti 14 - 17 mwisho. Gari kwa ajili ya route tu mitaani na trip tatu/nne kwa mwaka za dar mwanza.
My suggestion ilikua toyota auris au blade… napokea na ushauri kwa magari hayo!

1.Vw cross POLO cc 1300 1L/ 14-17km

2.Subaru Impreza 2012 cc 1990 1L/ 10-14km

3.BMW 3series cc 1990 1L/10-12km

4.Crown 4GR cc 2490 utapata performance ila mafuta 1L/8-12 km inategemea na uendeshaji wako
 
Umezingatia bajeti yake Kiongozi?
 
Wakuu msaada wa selection ya gari nzuri (based on muonekano, economy na performance) bajeti 14 - 17 mwisho. Gari kwa ajili ya route tu mitaani na trip tatu/nne kwa mwaka za dar mwanza.
My suggestion ilikua toyota auris au blade… napokea na ushauri kwa magari hayo!
Subaru forester SG5 Model inafit kwenye bajeti yako na itakupa performance nzuri

Wish old model 1ZZ VVTi utapata kwa bajeti hiyo na performance nzuri

Spacio 1ZZ Engine

Nissan xtrail NT30 Model inafit

BMW 3 Series 320 inafit

Mimi ni mshauri na muagizaji wa magari kutoka nje ya nchi.

Kwa ushauri zaidi nichek whatsap 0719972458
 
Kwa sifa ulizozitaja chukua Toyota Crown yenye engine ya 4gr. Humo performance ya kutosha hata mwenye V8 anaweza akatoka jasho kukupoteza njiani.
 
1.Vw cross POLO cc 1300 1L/ 14-17km

2.Subaru Impreza 2012 cc 1990 1L/ 10-14km

3.BMW 3series cc 1990 1L/10-12km

4.Crown 4GR cc 2490 utapata performance ila mafuta 1L/8-12 km inategemea na uendeshaji wako

Shukran sana nmepitia zote! Nmeipenda zaid cross polo imeinuka, ila nmeona za cc 1190 vp mkuu sio ndogo sana?
 
Weka picha mkuu na bei yako hapa kama utojali!
Year:2012
Transmission:Automatic
Engine capacity:Cc 2694
4 cylinders
Fuel consumption:City driving 10km/L
Highway driving 12km/L

Price:40,000,000
20221031_092930.jpg
 
Back
Top Bottom