Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,164
- 1,961
Kuna mtu anasubiriwa na bonge la rungu atokeze kwenye konaNdugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaaðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!
Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye msongo mkali sana wa mawazo...! Kwasasa akili yangu imetulia...!
Miaka 3 ilivyo pita nilikuwa natafuta fursa za kazi nchi za nje...kwa bahati nzuri mwaka huu Nika bahatika kupata safari kwenye falme za kiarabu huku Dubai kwa hivi sasa nipo Dubai napambana Uzi wangu huu ni rejea nzuri 🤣🤣🤣🤣
Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu
Huku Dubai Kuna fursa za bidhaa nyingi ambazo bei zake ni za Hali ya chini sana...hivyo kama Kuna wafanya biashara/mfanyabiashara anahitaji bidhaa yoyote kutoka Dubai Nina weza Nika kusaidia kwa niaba Yako nikakununulia bidhaa unayo itaka na kukutumia ndani ya muda mchache.
Kwa bidhaa chache ndani ya masaa 72 unakuwa umepata mzigo wako...!
Hivyo hakuna aja ya wewe kufunga safari kuja huku...nipo nitafanya hivyo kwaajili Yako...!
View attachment 2990271
Mnao hitaji simu, perfume za aina zote, computer, vifaa vya magari, vifaa vya umeme niagize nitakutumia mzigo wako ndani ya muda mchache kwa uaminifu wa Hali ya juu...!
Kwa mawasiliano mnaweza kunipata kwa namba zangu za Whatsapp +971581480619...!
Au kama unacho kifurushi Cha international call unaweza kunipata kwa namba hizo hizo +971581480619...!
View attachment 2990274