Niacheni nile vya mwanangu

itakuwa siuvumi ile issue analiwa na serengeti boys....na mimi naaza kupata nae shaka.kuna umri flani bana mama mtu mzima kama yule hatakiwi kutumia kilevi,tena kujichekesha vilee aaaaah
 
Yaani baada ya kifo cha kanumba kahamia mjini kabisa na kishasahau msiba anaponda raha
 
kula mama maisha mafupi hay a,ila ngumi hiyo taratibu
 
itakuwa siuvumi ile issue analiwa na serengeti boys....na mimi naaza kupata nae shaka.kuna umri flani bana mama mtu mzima kama yule hatakiwi kutumia kilevi,tena kujichekesha vilee aaaaah

Sijaona ubaya wowote tabasamu la kawaida sana, pia waweza kukuta anatupia chipa 1 au 2 tu, tusipende kuhukumu watu kwa vitu tusivyo kuwa na uhakika navyo.
 
Nampongeza kwani anaonekana ameshapiga moyo konde. Na maisha yanaendelea.
"Mama Chana Raha Kati ya Shida....!"
Nani kaiona kesho?
 
itakuwa siuvumi ile issue analiwa na serengeti boys....na mimi naaza kupata nae shaka.kuna umri flani bana mama mtu mzima kama yule hatakiwi kutumia kilevi,tena kujichekesha vilee aaaaah
mkuu akuna roho kongwe
 
nawaza hivyo vyombo vikishashuka itakuwaje hapo........mhhhhh ANALIPA Lkn
 
itakuwa siuvumi ile issue analiwa na serengeti boys....na mimi naaza kupata nae shaka.kuna umri flani bana mama mtu mzima kama yule hatakiwi kutumia kilevi,tena kujichekesha vilee aaaaah

Umri gani?
Marehemu bibi yangu alitumia hadi umri ulipozidi miaka 100.
Unamhukumu mtu kwa kunywa bia na kutabasamu tu?
 
mkuu pombe kwa mwanamke inakimbilia chini...afu hana bwanaa ujue.ana mihemuko kama izo mbili angekuwa anapata ndani hilo jambo jingine ilaa hii ya kujichanganya.ila sija muhukumu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…