hahaaaaaaa na mie naona aiseeee huyu mashaxizo huyu ana lake
Kijana punguza ukali umeyataka mwenyewe kubali mabaya na mazuri, pokea ushauri huo na ufanyie kazi! mdada wa watu anaunga watu mkono usimuburuze kwendana na mtazamo wako! Au huna haja na ushauri wetu?Eee! Kumbe unashikiliwa akili ee?!!!
Umeshachangia nami nimekuouma vizuriiii!
Sasa nini tena? Kila anaechangia kwa ukali wewe ndio unagongea na msumali! Mwee!
Ke unagubu weye!!!!!
Mpenzi Heaven on Earth,naomba kuuliza huyu Eiyer ni muzungu???Ukiitaja hiyo mrembo ndo wanimaliza kabisa.......
jumapili hii lazima nihudhurie Ibada.........
Eee! Kumbe unashikiliwa akili ee?!!!
Umeshachangia nami nimekuouma vizuriiii!
Sasa nini tena? Kila anaechangia kwa ukali wewe ndio unagongea na msumali! Mwee!
Ke unagubu weye!!!!!
Mpenzi Heaven on Earth,naomba kuuliza huyu Eiyer ni muzungu???
Muulize amewahi kufanya?Kama bikra kula mzigo!She needs it now!Ila huwa havikawii kukamata mimba
Hahaaaaaaa ni muafrika yaani naona anataka kumreplace mzungu.........
labda tumuulize kuna kitu atapungukiwa akiacha kumfundisha!!!!!