Niache kumsaidia?

Mkuu, huyo dogo haniumishi kichwa kabisaaa!

Sio kweli
Huyu anakuumiza kichwa labda iwe ni story ya kutunga!
Tazama hapa chini anavyokusumbua kichwani!
Isipokua nilihisi nisipomsomesha tena itakua sio uungwana!
Vile vile sikupenda wazazi wake watambue hii kitu!
Just think, kwao akiulizwa kwa nini huendi kusomeshwa na Mashaxizo?
Bila shaka atatoa unreasonable ground!
Itakuwaje wazazi wake wakiniuliza na mimi?
Itakuaje majibu ya huyo ke + yangu yakipingana?
Miaka mitatu, afu niwambie wazazi wake, si watajua nimeshamla! Kama wewe unavyodhania!!!

Haya maswali ni lazima yataleta walakini kwa mtu yoyote anaefikiri vizuri
Kwanini unaonekana kujali sana kuhusu huyu mtoto?
Inawezekana umeshambong'oa wewe!
Mentor hajakosea kabisa!

Halafu unajidai eti hanisumbui kabisa!
Kijana hebu acha masikhara!
 
Last edited by a moderator:

ushawahi kusikia msemo huu, "No one will treat you contrary to how you let them!"
 
Ukiitaja hiyo mrembo ndo wanimaliza kabisa.......

jumapili hii lazima nihudhurie Ibada.........

Basi usijali mrembo....
Niko pasta Eiyer kwaajili yako...
Tena nitaiandaa kwaajili yako wewe tu....
Mrembo.....................!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wambie wazazi wake, usiache tu ghafla hawachelewi kukuchafulia jina hao mtaani! mwambie mama yake amuonye mwanae!
Wengi wetu tuliofundisha tempo enzi zetu hayo ni mambo ya kawaida! Kazi ya mwalimu ni kumsaidia mzazi kulea mtoto na kama amekushinda unamshirikisha mnatafuta suluhu kwani ipo siku ataingia kwenye mikono ya simba! kumsaidia anapaswa kujua si jambo jema!
 
kama unamaanisha ni vizuri kulinda heshima yako, we ukiona haelewi kila unavyomueleza muepuke fasta singizia ubize au kitu kingine kua una majukum so huduma inasitishwa
 
Haaaaa we unamuona kama anavaa kibukta hebu Mashaxizo ajibu mwenyewe!!
 
Last edited by a moderator:
Sina masikhara Eiyer!
Mwwe! Ulivyonichambua chambua, umenifanya nijihisi mkosa!!
Lakini kwa nini Eiyer unapenda kudungua pale kwenye udhaifu tu????
Tambua hakuna mkamilifu!!!

 
Last edited by a moderator:
Haya bhana nimekuelewa!
Thanks kwa kuniengezea kitu chengine tena katika ufahamu wangu!!!
Bila kukosea hatuwezi kujifunza!

ushawahi kusikia msemo huu, "No one will treat you contrary to how you let them!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…