Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,812
- 6,326
Tena huyo mtu awe analia ile mbaya Kama wametoka kuzika juzi.akipiga simu mpe mtu akupokelee na aseme umepata ajali umekufa baada ya hapo badili namba atajua umekufa
Tena huyo mtu awe analia ile mbaya Kama wametoka kuzika juzi.akipiga simu mpe mtu akupokelee na aseme umepata ajali umekufa baada ya hapo badili namba atajua umekufa
Kula ubwabwa haimanishi hutaki viazi. What do I mean, mwanaume kuchepuka himanishi hataki mke wake, kumbuka waliumbwa kwa tamanampenda sana mke wangu nampenda na mtoto mtarajiwa
we kaka mimi nahisi Mungu akusaidie katika kipindi kigumu!
maana ungekua ynampenda mkeo usingechepuka
baada ya kuona jumba bovu linakuangukia unajifanya humtaki unarudi kwa mkeo kisa hutapata papuchi mwaka mzima na utalea??
ndo faida ya uzinzi kaka / mwanaume wa kweli hakimbii majukumu
alafu huyo khadija mwakani mwezi kama huu ataaanza tena kuruka majoka sijui utamfata tena......?!?!
acha kukimbia kinyago ulichokichonga ..wajibika
sasa si aendelee kulea mchepuko konachomkimbiza nini?Kula ubwabwa haimanishi hutaki viazi. What do I mean, mwanaume kuchepuka himanishi hataki mke wake, kumbuka waliumbwa kwa tama

Hahaaa, nshatumiaga hii style kitambo kidogo hayo matusi niliyopewa sitakaa nisahau.Mwambie umeenda kupima umekutwa na ngoma, atakukimbia sana
Mfalme daudi na uchamungu wake wote alichepuka iweje huyu jamaa? Acheni kujudge watunampenda sana mke wangu nampenda na mtoto mtarajiwa
we kaka mimi nahisi Mungu akusaidie katika kipindi kigumu!
maana ungekua ynampenda mkeo usingechepuka
baada ya kuona jumba bovu linakuangukia unajifanya humtaki unarudi kwa mkeo kisa hutapata papuchi mwaka mzima na utalea??
ndo faida ya uzinzi kaka / mwanaume wa kweli hakimbii majukumu
alafu huyo khadija mwakani mwezi kama huu ataaanza tena kuruka majoka sijui utamfata tena......?!?!
acha kukimbia kinyago ulichokichonga ..wajibika
wanafidia ile service charge waliyoondoa kwenye umeme ccm ni .................malizia
Hahaaa, nshatumiaga hii style kitambo kidogo hayo matusi niliyopewa sitakaa nisahau.
Kwa hiyo mwanzo hukuwa unampenda mkeo?,na wakati unabinuana na mchepuko ulikuwa huoni kama unatoka nje ya ndoa?Habari za muda huu wanachama wenzangu wa JF, matumaini yangu hamjambo na ni wazima wa afya,
Ningependa kusema najuta kutembea na msista flani mwenye mimba na amejifungua mwezi wa 6 kwa oparesheni, binafsi nina mke wangu ambae nae ana ujauzito wangu na anategemea kujifungua mwezi huu wa 7 sio zaidi ya wiki mbili zijazo,kwa kifupi nimeamua kubaki na mke wangu na kumuandalia maisha mema na mazuri mtoto wangu hivyo nafsi yangu inanitaka niachane na huyo mchepuko japo naogopa nikimwambia simtaki anaweza kuchukua hatua hatarishi na kuniweka matatani au hata kuniroga manake nishapewa stori kabila lao ni moto wa kuotea mbali.
Nimejitahidi kutopokea simu zake kwa muda lakini naona mwenzangu hajui kusoma alama za nyakati kwani kila muda ananisumbua na mimi kutoka ndani ya moyo simtaki na sina muda wa kulea mtoto nisiejua kapatikana wapi,nampenda mke wangu na nampenda sana mtoto wangu ajae.
Naombeni ushauri niachane nae vipi huyu single mother?
NATANGULIZA SHUKRANI KWENU WANA JAMIIFORUMS.