chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Kwenye mkutano na waandishi wa habari TRA walisema ongezeko hilo halikubaliki na ni upotoshaji na kutaka BOT iwashugulikie mabenki hayo
"Ongezeko la VAT alitomuathiri mtanzania" inahitaji utindio wa ubongo kuwaelewa hawa viongozi wetu.WAZIRI ALIZUGA BAJETI IPITE...NDIO MTINDO RAHISI WA KUSAIDIA BAJETI.sema ndiooooooo!
Hawa crdb vipi? Wanamuwekaje mtu asiyejua lugha ya kiswahili kwa ufasaha.....? Muhamala, kwanzia... duh!
Ni muamala,ila kuna makabila kama wahaya,wagindo nk.hawajui kutofautisha kati ya H&Ahivi ni muamala au MUHAMALA?
kuna kampuni pia ya simu ina changanya maneno hayo mawili
Ataathirika kwa nyongeza ya 18% juu ya tozo la wali."Ongezeko la VAT alitomuathiri mtanzania" inahitaji utindio wa ubongo kuwaelewa hawa viongozi wetu.
VAT huwa ni ya mtumiaji wa mwisho.... hata kwenye simu ni hivyo hivyo
Yaah upo sawa kabisa. Ila hapa inategemea na sera ya bank husika Sio lazima bank iongeze hiyo 18% yote inaweza kusema kwamba ita share tax na customers wake kwa hiyo kama ni ongezeko la bei halitakuwa 18% bali inaweza kuwa hata 10%. Ila naona kama bank zote wamehamishia burden kwa wateja.Lakini si ilitakiwa hiyo 144 itoke humohumo kwenye hiyo 800?
Yaan hapo bank hawajaguswa kabisa na hiyo kodi ila mwananchi ndo kaibebaYaah upo sawa kabisa. Ila hapa inategemea na sera ya bank husika Sio lazima bank iongeze hiyo 18% yote inaweza kusema kwamba ita share tax na customers wake kwa hiyo kama ni ongezeko la bei halitakuwa 18% bali inaweza kuwa hata 10%. Ila naona kama bank zote wamehamishia burden kwa wateja.