Hizo sababu ulizotutajia zinazokufanya ushindwe kumwambia ukweli ni justification unatafuta tu. Hivi hivi ulivyotuambia sisi ukimwambia yeye kuna ubaya gani kaka, usijitafutie sababu ili kuendelea nae, kama umeshaamua kuachana na uzinzi ni Jambo Jema usikaribishe kurudi tena nyuma.
Ulisikia case ngapi za watu waliojiua baada ya kuambiwa wanaachwa? Hamna kitu kama hicho, kama hakujiua alipoachwa na huyo jamaa aliyemzalisha tena kwa operesheni ndio atajiua juu yako?
Hebu acha kutafuta sababu za kuendelea kuwa nae, mwite mwambie wazi adhma yako full stop.