Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

Status
Not open for further replies.
....ndo maana siku hizi ufanisi kazini ni zero kabisa.. Badala ya kwenda kufanya kazi, akili inawaza kungonoka tu!!
 
Kama mabnt wa kpogoro utalia nao walisalit balaa,mm ni mhanga nahao watu.pesa mbele ndo mpango mzma kama bahiri presha tupu.
 

Mimi niko Kibaoni njoo nikuhabarishe
 
You are with the subject

What the hell are you asking us a question we cant answer?
 
Usisahau kupitia pitia mitaa ya mlabani, kwa shungu, lumemo, kibaoni, Lumemo, Ifakara, Jongo, Mhola,,,ukiwamaliza huko nenda na kining'ina katindiuka, kikwawila ukimaliza huko utakuwa umebaki kama njiti ya kibiriti
 

Usihofu Mkuu, ni watu wazuri I mean wema na wakarimu sana, tabia zao zinafanana na wandamba wa huko huko ifakara!
 
Usisahau kupitia pitia mitaa ya mlabani, kwa shungu, lumemo, kibaoni, Lumemo, Ifakara, Jongo, Mhola,,,ukiwamaliza huko nenda na kining'ina katindiuka, kikwawila ukimaliza huko utakuwa umebaki kama njiti ya kibiriti

Kwa Goha,Michenga,Nakasisi,Ng'ambo,Madukani nk.
 
Msamiati wa kumwambia mwanaume hapana huwa hawana hasa ukipita maeneo ya viwanja60 na lipangalala.
 
Wapogorogo wanaanza maujanja wakiwa na umri mdogo, unaweza kuona binti ukazani ni mdogo kumbe ni mkubwa wa mambo. Na akiingia hutoki ndugu yangu kuwa makini.
 
Ha ha ha, kweli, kuna wakati niliend Ifakara nikakuta wanauza kitu kinaitwa 'pepeta', kwanza nlivyosikia wanatangaza tangaza, nikajiambia 'skafulillah, wanauza kondomu za kike hadharani?'. Mara naona mchele ulobantalala, sikupata akili ya kununua nionje.

Apewe pepeta...atafune mpaka kichwa kimuume
 
hahahahah mkemwenza ungenunua uonje, ni nzuri sana unatokana na mchele ambao haujakauka/komaa..... hahah umenifurahisha ulivyodhani wanauza condom hadharani hahah...


 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…