Mwanaume
Mimi binafsi
Anampenda sana mke wangu ni mzuri mno anabonge la chura napata shida nikifuatana nae watu wanamkodolea macho
Mimi ni kapuku sina ajira ila yeye ana ajira ananipenda sana tu hana kibri wala sio mjeuri
Nachepuka

sababu
1.Nampumzisha mke wangu nisimchoke
2.Nampumzisha
3.Kupata tastes tofauti/yeye kibonge nachepuka na mwembamba
Hasara
1.Natumia pesa ambayo ingetumika kufanya Mambo mengine ya Maendeleo
2.Kuna magonjwa
3.Kupoteza muda
Faida
1.Burudani
2.Mke anapumzika
3.Namuonaga mpya Daily