Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
Na ni vizuri kutokuwa na imani ya asilimia mia, kwani siku ukikuta ndivyo sivyo, unaweza kufa kwa presha
haaaa Kunta hafi mtu ka presha...
Na ni vizuri kutokuwa na imani ya asilimia mia, kwani siku ukikuta ndivyo sivyo, unaweza kufa kwa presha
haaaa Kunta hafi mtu ka presha...
Kufa huta kufa cha moto utakiona moyoni.
ahhhh wapi, kwasasa hapana!
Haya luv utakuwa hujapenda unachuna tu kama wachunaji wengine huumii wala hutikisiki.
kupenda napenda sana, mume anachunwa au ni wajibu wake? kwangu mie sichuni bali ni wajibu wake.
Kwanini sasa mnategemea mme ndo atekeleze kila kitu?
Na mkiambiwa mme ndo kichwa cha familia mnakuja Ubeijing ooh haki sawa kwa wote ladies first kwenye maswala ya uchumi mnakaa pembeni eti mme lazima atekeleze wajibu wake.