Ni zipi dalili za kujua mwenzi wako kuwa anacheat!!!

kupenda napenda sana, mume anachunwa au ni wajibu wake? kwangu mie sichuni bali ni wajibu wake.

Kwanini sasa mnategemea mme ndo atekeleze kila kitu?
Na mkiambiwa mme ndo kichwa cha familia mnakuja Ubeijing ooh haki sawa kwa wote ladies first kwenye maswala ya uchumi mnakaa pembeni eti mme lazima atekeleze wajibu wake.
 
haaa mie kwangu atekeleze tu wajibu wake,utaniambia lingine lolote lakini sio hilo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom