kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,447
- Thread starter
- #41
kuna sheli tumesimama na simu yangu ipo hapo naiongeza chaji namba haipo kichwani nimeandika kwenye simu!Weka namba yako hapo chini
kuna sheli tumesimama na simu yangu ipo hapo naiongeza chaji namba haipo kichwani nimeandika kwenye simu!Weka namba yako hapo chini
huyo gigy money ndio nani?mtafute gigy money atakutunzia pesa yako sawa mlunga,,lunga,,
mbona madala mujipa ameshasema uwanja wa fisi haupo au kuna mwingine mkuu!Uwanja wa fisi pazuri
Umeonaeee anatuchulia si makoroWe jamaa unajikuta unaakili nyingi, xema wanakuja unaowatafuta
wewe umenihakikishia usalama wa ulinzi wacha niweke vocha ahahahaaaaa!Yaani we Lodi Lofa hujaacha tu. Not likuambia ukifika ubungo mkodi yule jamaa na T 5.. D.. Huyo tunazunguka nae mwezi mzima hana shida kvs utamlipa siku tunaondoka. Kaka zangu wawili wapo tayari kuwa mabaunsa na madereva wako. Tukutane njiapanda ya ulaya. Heeeeee heeeee hee hela kwenye kiroba haaaaaahaaaa wanakuogopa????
Wahi wapoti usichelewewewe umenihakikishia usalama wa ulinzi wacha niweke vocha ahahahaaaaa!