Ni ziara ya wiki moja jijini Dar lakini sijui nitafikia wapi

Sasa mkuu pumbav jabisa wewe pesa yore hiyo unataka ukahifadhiwe na Miss Natafuta? Ukilizwa sisi hatumo kabisaaaa! Ukifika nenda kabisa ukalipie hayo mahitaji ili ubaki na nyaraka tu siku ya kuondoka unaenda unapitia mzigo wako unaondoka! Ila unaweza kufikia ikulu wewe fika tu getini ujitambulishe tu kuwa unatoka airport mpya na ni mgeni wa mkulu, hapo utapewa mpaka gari ya kukutembeza sehemu zote!
mkuu nakumbuka ile ikulu yenye matausi ushauri ni mzuri lakini mmh!
 
Wewe unafanya ziara kama nani? shauri yako utakutana na Bashite kwenye kaya yake.
Hilo jina umenikumbusha kufika cloud's na nipate jumapili kupata ibada kanisa la ufufuo na uzima!
 
Habari waungwana wote

Wiki hii nimeamua kuingia jijini dar jiji la mdogo wetu wa kule kwetu

Dhumuni la safari yangu ni kuja kwenye shughuli zangu za kibiashara na kutalii kidogo na kuangalia nini kinachofanywa na serikali
Ni muda kidogo niliwahidi kufika jijini dar kuja kupanda mabasi ya mwendo kasi,sasa ndoto yangu imetimia hivi sasa nipo sehemu moja inaitwa kibamba,

Jamani kipindi kile nilipanga kupanda mwendokasi lakini nataka kufika daraja la kigamboni,fly over ya tazara,ubungo na daraja la koko beach,mlimani city,hostel za chuo na kumalizia ilipokuwa bilicanas, nikaone pamefanywa nini mpaka sasa bila kusahau ile barabara ya moroko,na kwenda airport kuangalia bombadier zilivyo

Tatizo linalonisumbua mpaka muda huu ndugu zangu ni sehemu ya kufikia yaani nipate mtu mwenye uhakika wa gari na salama,maana kama nilivyowajulisha baada ya kudunduliza tupesa vyangu nimepanga hapa jijini nikiondoka niondoke na zile gari fuso moja na pick up, trekta,

Kama mnavyojua nikiondoka nataka nipate madereva wawili sasa mwenyeji ndio atakuwa na kazi hiyo na kutunza hiki tupesa mpaka nitakapoenda huko toyota motors kwenda kununua hayo mahitaji yangu!

Nipokeeni waungwana sijali jinsia yeyote awe mwenyeji wangu!

Hapa nishachanganyikiwa nikifikiria vibaka na hiki kiroba cha pesa

Na huo utekaji mh!
Ni pm mkuu...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanza hongera mkuu kwa kujikwamua kiuchumi.Hata hivyo katika mazingira ya sasa kama sio mstahafu wa ngazi ya juu serikalini, mpiga dili,fisadi,muuza shisha,mkopo au kamgambile kufika hapo ulipofika kiuchumi sio rahisi sana.Kununua gari ya kutembelea,Fuso na tractor wakati mmoja!Mmm,haya bwana.
Ila kuwa makini sana,JPM kabana sana pesa.
 
Sasa mkuu pumbav jabisa wewe pesa yore hiyo unataka ukahifadhiwe na Miss Natafuta? Ukilizwa sisi hatumo kabisaaaa! Ukifika nenda kabisa ukalipie hayo mahitaji ili ubaki na nyaraka tu siku ya kuondoka unaenda unapitia mzigo wako unaondoka! Ila unaweza kufikia ikulu wewe fika tu getini ujitambulishe tu kuwa unatoka airport mpya na ni mgeni wa mkulu, hapo utapewa mpaka gari ya kukutembeza sehemu zote!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Mkuu, kati ya huyo miss natufuta na mtoa mada wadhan n nn yuko kwenye nafasi kubwa ya kulizwa? Huu ni Mtego, kama vile wewe unavyo mwekea panya mnofu mwanana, na hii n hivyo hivyo
 
We hii awamu ya 5 watu watakumaliza jinsi kulivyo na uhaba wa sarafu kitaaani.
 
Kwanza hongera mkuu kwa kujikwamua kiuchumi.Hata hivyo katika mazingira ya sasa kama sio mstahafu wa ngazi ya juu serikalini, mpiga dili,fisadi,muuza shisha,mkopo au kamgambile kufika hapo ulipofika kiuchumi sio rahisi sana.Kununua gari ya kutembelea,Fuso na tractor wakati mmoja!Mmm,haya bwana.
Ila kuwa makini sana,JPM kabana sana pesa.
mkuu hivi ni vijipesa nilivyohangaika navyo kwenye uvuvi ziwa viktoria na kilimo cha pamba!
 
Back
Top Bottom