Ni zaidi ya picha

Ni zaidi ya picha

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657
mitaa ya kinondoni
DSC06957.jpg
 
Duh!!Hii si ni hatari sana kwa usalama barabarani!!
 
Kama sio hizo nyumba ningejua hayo magari yanakatiza Mikumi National Park.
 
duh.., hatari sana. vingunguti kwa mnyamani hiyooo.
 
Hapo ni karibu na ofisi chafu chafu za chama flani hivi...
 
yo maana ya kuitwa mjasiriamali LAZIMA uwe na roho ya jiwe kuchungia mifugo mjini
 
Dar kuna vibaka wengi lakini hawathubutu kuiba hawa mbuzi wa makaburini, kwa hiyo utajua hawa si mbuzi wa kawaida.
 
Dar kuna vibaka wengi lakini hawathubutu kuiba hawa mbuzi wa makaburini, kwa hiyo utajua hawa si mbuzi wa kawaida.

Haswaa na majina yao nayajua, wa
1. Hadija
2. Shomari
3. Malaria Sugu
4. Rejao
5. Bujibuji
6. Nimemsahau kidogo
Kama hujipendi wagonge sasa uone kazi
 
Mbuzi kama hawa wanaoishi town halafu wanapishana na magari huwa wanakula mpaka BIG GEE!
 
Back
Top Bottom