Ni zaidi ya Babu wa Loliondo

Ni zaidi ya Babu wa Loliondo

Status
Not open for further replies.
sanasana hawa wanaojiita alhaji, maalim na shehe kuroka huko tanga wamejaaa sana mnazi mmoja dar.

babu wa loliondo mbona alikuwa mchungaji ..? acha uchokozi bana utapeli hauna dini..? nasikia gwajima sijui ni muuza madawa ya kulevya yupo kwenye ile list ya jk
 
Baada ya watu wengi kutoa shuhuda zao za kuponeshwa Sukari, presha,ngiri na mazindiko ya mji na Dr Alhaji toka mkoani Tanga na kwa Maombi ya wakazi wa Mwanza sasa yupo hapa jijini wasiliana naye 0787625719.


Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa huyu mganga ni janga lingine la taifa ambalo ni baya zaidi la lilitokea Loliondo au??
 
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa huyu mganga ni janga lingine la taifa ambalo ni baya zaidi la lilitokea Loliondo au??
guyz you have to be serous on same matters stop be talkative some people are very powerful especialy these traditional healers. When you call him/her make sure you have a reason the appearence of ur nomber to him can make you crazy.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom