Kiba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 459
- 62
Akitaka watu waamini na wamiminike kwake afanye miujixa ya kupona mtu mwenye kisukar,presha,ukimwi,kansa nk.atashangaa
ni kweli huyu jembe kashaponesha watu wengi wa presha na sukari mkoani kilimanjaro. Kama uko na shida wasiliana nae ushauri si bure.