Ni yupi kiongozi kati ya hawa?

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
Ipe neno attachment hii.
 

Attachments

  • JKN.jpg
    JKN.jpg
    39.3 KB · Views: 572
hapo naona kiongozi mmoja tu... mwingine naona kama vile ni vasco da gama...ila sina uhakika anaweza akawa pia christopher columbus...lakini sio kiongozi kamwe
 
... hii ni sawa na kuuliza kipi bora kati ya falsafa ya UJAMAA NA UBEPARI.
 
huyo mwenye mkeka anastahili kuwa monitor wa darasa uraisi ulipotea njia tu kama mbuyu kuangusha embe.
 
hapa kuna mzushi wa usharobaro(kulia kwangu).. Na mutu ya kazi mutu ya mfano.. Na kiongozi(kushoto kwangu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom