unajua ukisema tabia nzuri umemaanisha mengi?Uko tayari kula vibichi?
kupika ni sehemu ya mwanamke mwenye maadili mema na malezi mema....Kwani kupika vizuri inaweza ikafit kwenye tabia? au kuvaa kunaweza kufit?
labda kwa jamii uliyopo wewe.. Hebu nipe tafsiri yako.. Mwanamke mwenye tabia nzuri ni yupi?kupika ndugu yangu ni tofauti na maadili, ule tunaita ni ufundi.

1. Mwanamke anyejua kuvaa

2.Mwanamke anayejua kupika

3.Mwanamke mwenye tabia nzuri.

Choose one