Ni yupi bora kati ya hawa?

Kwani kupika vizuri inaweza ikafit kwenye tabia? au kuvaa kunaweza kufit?
 
Yani Tabia nzuri imejieleza yenyewe ikiwa na maana matendo mema, hakuna kuangalia sura wala talent
 
hivi yawezekana awe na tabia nzuri lakini asijue kuvaa vizuri na mapishi?.........naona kama unajirudiarudia...................
 
tabia na maadili vinaendana mkuu! So akiwa na maadili atakuwa na tabia nzuri na atajua kupika pia,huyo ndo mwanamke bora wakuu!!!
 
4. Anayejua kutoa 'vitu' ambavyo siezi kuvipata kwa mwanaume mwenzangu..bottom line.
 
Back
Top Bottom