Wakufoji Senior Member Joined Jan 15, 2019 Posts 198 Reaction score 386 Jun 23, 2026 #21 Vita dhidiyaujinga said: Binafsi nimeona Madhara ya WiFi ya kiafya ambayo ni maumivu ya kichwa (body weakness creation) Nimethibitisha Je, wewe unamfaham Madhara mengine ya kiafya na vingine? Unasemaje kuhusu HOJA ya WiFi kusababisha maumivu ya kichwa? Click to expand... ila hahata kufikiria kwa mda mrefu hupelekea kichwa kuanza kugonga upande mmoja. kwahiyo uchunguz unafaa uwe ni wa kitaalam zaidi.
Vita dhidiyaujinga said: Binafsi nimeona Madhara ya WiFi ya kiafya ambayo ni maumivu ya kichwa (body weakness creation) Nimethibitisha Je, wewe unamfaham Madhara mengine ya kiafya na vingine? Unasemaje kuhusu HOJA ya WiFi kusababisha maumivu ya kichwa? Click to expand... ila hahata kufikiria kwa mda mrefu hupelekea kichwa kuanza kugonga upande mmoja. kwahiyo uchunguz unafaa uwe ni wa kitaalam zaidi.
Wakufoji Senior Member Joined Jan 15, 2019 Posts 198 Reaction score 386 Jun 23, 2026 #22 Vita dhidiyaujinga said: Uko right. Tutafute suruhu ya iki kitu hasa wale wa WiFi za kwenye magari na vyumbani.Seriously unaweza kufa kisa WiFi Click to expand... dunia nzima washindwe kugundua athari za wifi ?. wangesha kua washagundua kitambo sana. hebu mjaribu kutafuta google kwanza. { ila kwangu imeniambia hamna athari }
Vita dhidiyaujinga said: Uko right. Tutafute suruhu ya iki kitu hasa wale wa WiFi za kwenye magari na vyumbani.Seriously unaweza kufa kisa WiFi Click to expand... dunia nzima washindwe kugundua athari za wifi ?. wangesha kua washagundua kitambo sana. hebu mjaribu kutafuta google kwanza. { ila kwangu imeniambia hamna athari }