Vita dhidiyaujinga
Senior Member
- May 15, 2026
- 188
- 231
Umejuaje kama ni WifiBinafsi nimeona Madhara ya WiFi ya kiafya ambayo ni maumivu ya kichwa (body weakness creation)
Nimethibitisha
Je wewe unamfaham Madhara mengine ya kiafya na vingine? Unasemaje kuhusu HOJA ya WiFi kusababisha maumivu ya kichwa?
Hamna una doomscrollingBinafsi nimeona Madhara ya WiFi ya kiafya ambayo ni maumivu ya kichwa (body weakness creation)
Nimethibitisha
Je, wewe unamfaham Madhara mengine ya kiafya na vingine? Unasemaje kuhusu HOJA ya WiFi kusababisha maumivu ya kichwa?
Jaribu kugoogle au kutumia WiFi mara kwa maraUmejuaje kama ni Wifi
Mkuu lipa madeni ya watu !!
Uko right. Tutafute suruhu ya iki kitu hasa wale wa WiFi za kwenye magari na vyumbani.Seriously unaweza kufa kisa WiFiNa masikio pia yanavuma, napata brain fog pia
Mwanafunzi mmoja akauliza, Mwalimu na sisi watumishi wa tamisemi, tuitumie kwenye nini ili tuone faida yake nje ya matumizi ya kiofisi ?Wi fi ili uone faida yake itumie kibiashara na sio matumizi binafsi
Technology yote ni uchawi uliorembwa me nikilala usiku nazima network zoteWi‑Fi huchangia sehemu ndogo sana ya exposure ya mawimbi ya redio ikilinganishwa na simu za mkononi.
Hakuna ushahidi thabiti kwamba Wi‑Fi inaleta madhara ya kiafya kwa binadamu katika matumizi ya kawaida.
Labda ni screen time unayotumiaInawezekana aisee, mm nina router chumbani kwangu napata maumivu ya kichwa, uchovu na mwili kukosa nguvu
Mwanafunzi mmoja akauliza, Mwalimu na sisi watumishi wa tamisemi, tuitumie kwenye nini ili tuone faida yake nje ya matumizi ya kiofisi ?
HR ana monitor shughuli zetu mtandaoni.Kubet🤣🤣