Ni ya zamani,lakini tujikumbushe kidogo

Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,663
416
Kuna mama mmoja alienda supermarket kununua mafuta ya mtoto wake mdogo
Mama:Niuzie mafuta ya kumpaka mtoto
Muuzaji:Baadhi ya akina mama hununua mafuta ya watoto na kwenda kupaka wao,kamlete mtoto mwenyewe kwanza nimuone.
Mama akaenda nyumbani na kukmchuka mtoto wake hadi supermarket,muuzaji alipomuona akampatia mafuta
Siku ya pili mama akaenda dukani kununua chakula cha mbwa.
Mama:Muuzaji nipatie chakula cha mbwa
Muuzaji:Baadhi ya kina mama hununua chakula cha mbwa na kwenda kula wao,kamlete mbwa nimuone kwanza
mama akaenda kumleta mbwa,na muuzaji alipomuona akampatia chakula cha mbwa.
Baada ya siku kadhaa,mama yule akataka kwenda kununua toilet paper,akajuan akienda bila kithibitisho atarudishwa tena,akaamua kunya kwenye kibox,akafunga vizuri,kisha akatoboa kitundu kidogo kiasi cha kupita kidole tu,akaondoka nacho hadi dukani
Mama:leo sitaki maswali mengi,akatoa kile kibox na kumwambia muuzaji aingize kidole kwenye kile kitundu,
Kisha akamwambia,hicho ndio nachohitaji
 
Back
Top Bottom